Friday, July 10, 2015

MKENYA ashinda mbio za mita 800



BINGWA wa rekodi ya dunia katika mbio za mita 800 Dunia mkenya David Rudisha ameshindwa tena kwa mara nyengine katika mbio hizo na Bingwa katika mbio hizo Nijel Amos wa Botswana.

Rudisha tayari alikuwa ameongoza mbio hizo akiwa mbele na ilikuwa imesalia mita 300 kufika katika utepe,wakati Nijel Amos alipotoka nyuma na kumshinda.Rudisha
David lekuta Rudisha

No comments:

Post a Comment