Wednesday, July 29, 2015

NDEGE za Uturuki zashambulia kaskazini mwa Iraq

SERIKALI  ya Uturuki inasema kuwa ndege za kivita zimetekeleza mashambulizi katika kambi za kundi la Kikurdi PKK Kaskazini mwa Iraq na kusini mashariki wa Uturuki.

Ankara imesema kwamba mashambulizi ya PKK nchini Uturuki yamefanya mazungumzo ya amani kutoendelea.



No comments:

Post a Comment