 |
| Kikundi cha usafi Magomeni jijini Dar es salaam |
WANAJAMII wamekumbushwa kuwa na utamaduni wa kufanya usafi wa mazingira katika maeneo wanayoishi.
Hayo yamebainishwa leo na kikundi cha mazingira katika manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam wakati wakizungumza na Dira ya Mazingira wakati wakifanya usafi katika bustani ya kupumzika iliyopo Magomeni , jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment