Wafanyabiashara soko la Buguruni |
IMEELEZWA kuwa
uzalishaji wa taka katika soko la Buguruni jijini Dar es salaam ni mkubwa
kuliko kipato cha Mfanyabiashara.
Afisa Mazingira wa Manispaa ya Ilala jijni Dar es slaam Bwana
Abdon Mapunda amebainishwa hayo mapema leo ofisini kwake wakati akiongea na Mwandishi
wa habari wa Mbiu.
Bwana Maunda amefafanua kuwa lori moja la ndizi nusu yake ni
majani na vifungashio na nusu iliyobaki
ni bidhaa.
Amesema ili kukabiliana na changamaoto hiyo
manispaa ya Ilala imeamua kupandisha gharama za ushuru ili kukabiliana na
gharama za uendeshaji wa soko hasa za usafi wa mazingira
No comments:
Post a Comment