Katzav
ametumikia miaka minne ya kifungo chake cha miaka saba jela alichohukumiwa
baada ya kupatikana na makosa ya ubakaji.
Kupitia
taarifa, bodi hiyo imesema Bw Katzav ameendelea kujitazama kama mwathiriwa na
kulalamika kuhusu gharama kubwa ambayo familia yake imelipia.
Bodi
hiyo imesema hajaonekana kujutia kitendo chake wala kuonyesha huruma kwa
wanawake aliowashambulia.
Bw
Katzav alihudumu kama rais wa Israel kuanzia 2000 hadi 2007.

No comments:
Post a Comment