![]() |
| Kituo cha mabasi cha Msamvu Morogoro mjini |
WATU wawili
Baba Galinus Laulent(35-38) na wanae Mariam Laulent(10 -13) mwanafunzi darasa
la nne shule ya msingi Kauzeni wote wakazi wa Mzinga Manispaa ya Morogoro
wanahofiwa kufa maji baada ya kusombwa na maji katika mto Mvuha kati ya kijiji
cha Nemele na Baga wakati wakijaribu kuvuka kwenda msibani.
Mashuhuda wa tukio hilo juzi saa11 jioni akiwemo kaka wa marehemu
Mpeka Hussen(43) na Martin Ng’humbi walisema watu hao wakitokea Kauzeni mjini
Morogoro walifika Matombo na kuanza safari kwenda kijijini Baga kwa miguu
kuhani msiba.
Walisema wakiwa safarini kwenda kijiji cha Singisa-Kiseli walifika
kijiji cha Nemele ulipo mto huo wa Mvuha unaoatenganisha vijiji viwili cha Baga
na kijiji cha Nemele kisha kuingia na kuanza kuvuka,wakati huo hapakuwa na maji
mengi.
“wao walikuwa mbele akawa amembeba mwanae huyo na kuanza kuvuka,
kwa jumla maji haya kuwa mengi kwa kukadiria kama nchi 15,walipofika katikati
ya mtoghafla yakaongezeka nahisi waliteleza baada ya kukanyaga jiwe na
kuanguka…walipoinuka wakawa hawa naguvu wakasombwa na maji” alisem Mpeka.
Alisema hata alipojaribu kuwaelekeza kuwaelekeza kushika kwenye
vipande vya miti vilivyokuwa mtoni humo hawakuelewana kiasikwamba walikuwa
wakizamishwa na kuibuka huku wakisukumwa na maji hayo yaliyokuwa machafumithiri
ya mvua kunyesha maeneo ya juu milimani.
Kwa upande wake Ng’humbi mbali na kuelezea hayo alisema ongezeko
hilo la maji lilitokana na mvua nyigi kunyesha majuzi usiku kucha katika milima
ambayo mifereji na vijito vyake vinaingiza maji kwenye mto huo nakuwa inawezekana
kwa

No comments:
Post a Comment