![]() |
| Jacob Zuma |
Siku
ya Alhamisi, mahakama kuu ya nchi, ilisema kuwa rais amekwenda kinyume na
katiba, katika kashfa ya mamilioni ya dola, yaliyotumiwa kutengeneza nyumba
yake binafsi.
Bwana
Kathrada, ambaye alifungwa kwa miaka mingi katika kisiwa cha Robben, pamoja na
Nelson Mandela, alisema, Rais Zuma atazidisha watu kukosa imani na serikali ya
Afrika Kusini, ikiwa atabaki madarakani,.
Rais
Zuma amesema wazi kuwa hana azma ya kujiuzulu.

No comments:
Post a Comment