Monday, May 30, 2016

WANAFUNZI UDOM wafukuzwa Chuo


Chuo kikuu cha Dodoma

WANAFUNZI katika chuo kikuu cha Dodoma nchini Tanzania wamefukuzwa chuoni humo baada ya kuzuka kwa mgogoro kati ya serikali na wahadhiri wa chuo hicho.

Wanafunzi hao waliagizwa kuondoka katika chuo hicho kufikia saa kumi na mbili jioni siku ya Jumapili.
Image caption Ilani
Ilani hiyo imesema kuwa kulikuwa na makosa katika mafunzo ya wanafunzi wanaosomea shahada ya elimu ikiwemo sayansi,hesabati,teknolojia hivyobasi serikali imewataka wanfaunzi kuondoka chuoni humo hadi ilani yengine itakapotolewa.
Maelezo kuhusu mgogoro huo kati ya ya wahadhiri wa chuo hicho na s

No comments:

Post a Comment