CHANJO ya kwanza
kabisa duniani dhidi ya ugonjwa wa Malaria itaanza kutolewa kwa nchi tatu
zikiwemo Ghana, Kenya na Malawi kuanzia mwaka 2018.
MBIU YA MAENDELEO
Monday, April 24, 2017
Sunday, April 2, 2017
MADIWANI walia miradi mingi kutelekezwa kutokana tatizo la fedha
WAKATI serikali inakusudia kuomba Trilion 31 kwamatumizi yake
nchini baadhi ya madiwani wilayani Morogoro wanalia kutelekezwa miradi mingi ya
maendeleo kutokana na serikali kuu kushindwa kupeleka fedha za maendeleo kwa
zaidi ya miaka minne hivyo miradi mingi iliyogharimu fedha na rasilimali nyingi
iliyoanzishwa na watu kuharibika bila msaada wowote.
Friday, March 10, 2017
SHIRIKA la maendeleo la Uswissi (SDC) yakabidhi msaada wa bili 17
Monday, November 28, 2016
MWANDISHI wa habari wa Kenya akamatwa nchini Uganda
MFAMASIA wa wilaya ya Gairo, mkoani Morogoro anusurika kipigo
Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby akiwa na madiwani wa wilaya hiyo |
MFAMASIA wa wilaya Gairo mkoani Morogoro Arbogast Tarimo
akiwa na viongozi wengine wanne toka wilayani,kata na kijijini Nguyami
wamenusurika kuuwawa na wananchi kijijini hamo baada ya kuzingirwa na wanachi
muda mfupi walipovamia duka lao la dawa kisha kuondoka na dawa za mil.2.5.
Thursday, November 24, 2016
CHANGAMOTO ya kukosa uhakika wa masoko yaisumbu kiwanda cha 21st Century
Wednesday, November 16, 2016
PANZI waharibu wazua taharuki wilayani Gairo
PANZI WA wa
ajabu wenye sumu kali waliyembatiza jina la ‘Chimngandala’ maarufu Bendera ya
taifa wameibuka katika misitu ya wilaya ya Gairo na kusababisha hofu ya maafa
kwa wanachi na janga la njaa endapo serikali haita chukua hatua za haraka na
makushudi kuwateketeza kabla ya masika kuanza.
Subscribe to:
Posts (Atom)